Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 26 March 2015

MATANGO YANAWEZA KUWA SULUHISHO YA MAGONJWA HAYA HAPA
Matango ni moja ya matunda ambayo yana faida mbalimbali katika afya ya mwili wa mwanadamu.


Matango huweza kutengenezwa kama juisi au kutafunwa , unachotakiwa ni kuosha vizuri na kula kama tunda.

Tunda hili linaaminika kufanya vizuri katika magonjwa ya saratanu, vidonda vya tumbo, majipu na magonjwa ya ngozi.

Matango pia husaidia katika kusafisha au kuzuia ugonjwa wa ini pamoja na figo na koo.

Unapotumia juisi yake husaidia sana mwili kufanya kazi yake vizuri inapotumiwa kwa kunywa.

Ni vizuri unapokula tunda hili ukala hadi maganda yake endapo ukiweza kwa sababu vitamin na madini mengi yapo kwenye ngozi, lakini hata hivyo hata ukila bila maganda bado hufaa pia.

Tunda hili hali kadhalika husaidia sana kwa wale wenye tatizo la baridi yabisi (rheumatism), kuvimba miguu, pia inaondoa uric acid na kusaidia mengine mengi.

Pamoja na hayo kwa wale wanaosumbuliwa na kisukari, na kupunngua kwa uzito wa mwili wanashauriwa kufanya tunda hili kama sehemu ya mlo wao.

Unapoweka maji kwenye beseni na kutumia tango kuoshea uso husaidia sana kuondoa chunusi , majipu na michaniko mwilini kwa ujumla tunda hili husaidia kuleta uzuri wa ngozi .

Pia unaweza kufika Mandai Herbalist Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam na utapata ufumbuzi wa magonjwa yako yanayokusumbua. Wasiliana sasa na Dk Abdallaha Mandai kwa simu zifuatazo,0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com

 

No comments:

Post a Comment