Siku zote furaha ya maisha katika ndoa hutokana na
uwepo wa upendo amani na furaha, lakini furaha hiyo huongezeka zaidi pale
wanandoa wanapopata mtoto au watoto.
Shida huwa inakuja pale mmoja kati ya wanandoa
anapokosa uwezo wa kupata mtoto katika ndoa, jambo ambalo huchangia hata
kutalakiana kwa wanandoa husika pale wanapokosa uvumilivu.
Ummy Ramadhani ni mmoja wa wanamke ambao alikosa
furaha katika kipindi cha miaka 6 tangu alipoolewa ambapo aliishi bila kupata
mtoto ndani ya ndoa yake.
Ummy Ramadhani alipata fursa ya kuongea na kitengo
cha habari kutoka Mandai Herbal Clinic, ambapo anasema kuwa tatizo hilo
lilimfanya kuhanga hospitali mbalimbali jijini Dar es Salaam ikiwemo Hospital
ya Amana pamoja na Temeke zote za jijini Dar es Salaam ambapo kote huko
waligundu kuwa mirija yake ya uzazi ilikuwa imeziba na hivyo kulazimika
kusafishwa, lakini haikuwa suluhu ya tatizo lake hilo.
Aidha Ummy anasema siku moja akiwa ameshajiandaa
tayari kwa kuelekea hospitali alipotoka nje alikutana na jirani yake (mwanaume)
ambaye alimuambia kuwa alikuwa akielekea hospitali kwa ajili ya tatizo lake
hilo, hapo ndipo ikawa mwanzo wa mafanikio yake ya kuliaga tatizo lake la
kukosa mtoto kwani mwanaume huyo alimueleza habari za kuhusu tabibu Mandai wa
Mandai Herbal Clinic huku akimueleza kuwa nayeye mke wake alikuwa na shida
kama yake (ya Ummy) lakini aliweza kupata mtoto baada ya kutibiwa katika
kliniki hiyo.
“Kwa kweli baada ya kusikia maneno ya jirani yangu
huyo ilinibidi nifanye utaratibu wa kufika hapa kwa Dk Mandai na nilipopimwa
nikaambiwa kuwa nilikuwa nina uvimbe sehemu zangu za siri” alisema Ummy.
Aliendelea
kueleza kwamba, “baadaye dokta aliniambia
nitaanza kutumia dawa ambazo aliniambia dozi yangu zima itanigharimu kiasi cha
shilingi laki mbili, nilikubali na nikachukuwa kwanza dawa za wiki ya kwanza na
nikaanza kutumia hadi zikaisha tena nikarudi tena kuchukuwa dawa za wiki ya
pili, sasa hapo ndipo nilipoona maajabu kwani mara baada ya kumaliza zile dawa
za pili nikakuta ghafla ule muda wa siku zangu umepitiliza na nilipoenda kupima
nikagundulika nilikuwa mjamzito, hivyo hata hizo laki mbili zenyewe zikutumia
nikawa tayari nimeshika mimba nilifurahi sana na kumshukuru Mungu pia”
aliongea huku akionekana kutabasamu.
![]() |
Dk Mandai Mtaalamu wa Tiba asili na Mkurugenzi Mkuu wa Mandai Herbal Clinic |
Hata hivyo Ummy au mama Paul anasema "kikubwa
kilichomsaidia yeye ni kuwa na imani kwanza na tiba za Dk Mandai, lakini pia
nilikuwa natumia dawa huku ninamuomba Mungu sana na ilifika wakati nilikuwa
hadi nafunga kabisa”
Pamoja na hayo Mama Paulo anasema kuwa, “kwa kweli ilifika wakati nikakata tamaa sana
na nikajua kuwa mimi nitakufa bila kuzaa lakini mme wangu na wakwe zangu
walikuwa wananitia moyo sana na hatimaye saizi na mimi ninafuraha tena kuwa na
mtoto.”
Mama Paul anawashauri wenye shida kama aliyokuwanayo yeye kwanza waamini Mungu yupo na anaweza, lakini pia kuwa na imani ya
tiba wanayoipata.
“Mimi
nilikuwa nakuja hapa kwa Dk Mandai nikiamini kabisa kuwa nitapewa dawa na
nitapona tatizo langu na kupata mtoto, lakini ukishaweka wasi wasi mara nyingi
huwa ni ngumu kupona mimi leo ninafurahia kuwa na mtoto wangu”.
Alisema mama Paul.
Kama unasumbuliwa na magonjwa sugu pia unaweza fika Mandai Herbal Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaa. Au wasiliana na Dk Mandai kwa namba za simu zifuatazo 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 44.
No comments:
Post a Comment