Monday, 9 March 2015

NIMEKUWEKEA HAPA ORODHA YA MAGONJWA 10 YANAYOWEZA KUTIBIWA NA LIMAO.
Limao ni moja ya tunda lenye ladha ya uchachu na mara nyingi tunda hili limekuwa likitumika zaidi katika mazingira ya jikoni hususani katika kukata shombo ya baadhi ya vyakula (mboga).


Leo nimeona ni vyema ni kufahamishe orodha ya magonjwa kumi ambayo yanaweza kutibika kwa kutumia  malimao kama tiba na kinga.

Orodha ya magonjwa hayo 10 ni hii ifuatayo.
1.     Kikohozi.
2.     Mtatizo ya tumbo.
3.     Kuumwa kichwa.
4.     Mafindo findo.
5.     Pumu
6.     Figo.
7.     Ini
8.     Kuzuia kunyonyoka kwa nywele.
9.     Kusaidia usagaji wa chakula.Endelea kutembelea tovuti hii kadri uwezavyo ili kufahamu mimea na namna matunda yanavyoweza kutumika kama tiba ya magonjwa mbalimbali, lakini pia unaweza kufika Mandai Herbal Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Au wasiliana na Dr Mandai kwa simu namba, 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com.  

No comments:

Post a Comment