Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 6 March 2015

SIKILIZA REDIO YAKO LEO IJUMAA SAA TANO NA NUSU ASUBUHI NA UTAMSIKIA DK MANDAI AKIZUNGUMZA KUHUSU AFYA NA TIBA ASILI KWA UJUMLA

Pata nafasi ya kumsikiliza Dk Abdallah Mandai leo Ijumaa kuanzia saa 5:30 asubuhi hadi saa 6:00 mchana kupitia kipindi cha Hatua 3 kinachoruka kupitia Redio Times Fm (100.5). 

Dk Mandai atakuwa akizungumzia namna uyoga unavyoweza kutumika kama tiba ya magonjwa mbalimbali, tafadhali usikose kusikiliza hii.
Lakini endapo unasumbuliwa na magonjwa mbalimbali na unahitaji kufika Mandai Herbal Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam basi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0758 163 818, 0672 060 006, Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment