Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 13 March 2015

USIKOSE KUMSIKILIZA DK MANDAI ASUBUHI YA IJUMAA HII KUPITIA REDIO YAKO


Ijumaa hii ya Marchi 13, 2015, pata nafasi ya kumsikiliza Dk, Abdallah Mandai akisikika kupitia redio Times Fm (100.5) ndani ya kipindi cha Hatua 3 kuanzia saa 5:30 Asubuhi hadi saa 6:00 Mchana. Dokta atakuwa akizungumzia kuhusu afya ya Figo.

Pia utapata fursa ya kuuliza maswali yako moja kwa moja. Kwa pamoja tudumishe Tiba asilia na Mandai Herbal Clinic. 

Endapo unatatizo lolote la kiafya unaweza kuwasiliana na Dk Mandai kwa simu namba, 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 3682 442, Barua pepe ni dkmandaitz@gmail.com. Pia unaweza kufika Mandai Herbal Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment