Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 12 March 2015

USIPITWE KUMSIKILIZA DK MANDAI USIKU HUU ATAKUWA LIVE NA UTAJUA KUHUSU AFYA YA FIGO YAKO, KAA KARIBU NA REDIO YAKO SASA
Alhamisi hii ya Marchi 12, hakikisha hukosi kumsikiliza Dk Abdalah Mandai kupitia redio yako, unachopaswa kufanya ni rahisi sana fungua redio Uhuru Fm kuanzia saa 4 kamili usiku huu hadi saa tano usiku na utapata nafasi ya kumsikiliza Dk Mandai live akizungumzia kuhusu figo na tiba asilia kwa ujumla wake

Dk, Abdallah Mandai ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mandai Herbal Clinic
Lakini pia na wewe msikilizaji utapata nafasi ya kuuliza maswali yako na kujibiwa vizuri kabisa, kwa pamoja tudumishe tiba asilia na Mandai Herbal Clinic.

Endapo unatatizo lolote la kiafya unaweza kuwasiliana na Dk Mandai kwa simu namba, 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 3682 442, Barua pepe ni dkmandaitz@gmail.com. Pia unaweza kufika Mandai Herbal Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment