Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 21 March 2015

VIJANA WA JAMII YA KIMASAI WACHOMA MOTO MAGARI, NYUMBA BAADA YA KIJANA WA KIMASAI KUPIGWA HADI KUFA KISA KUFUMANIWA NA HOUSE GIRLKijana mmoja wa Kimasai amefariki dunia mara baada ya kutembezewa kichapo na wananchi wenye hasira kali mara baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na house girl.

Tukio hilo limetokea jijini Arusha kata ya Olasti leo Asubuhi na kusababisha taharuki kubwa, huku magari, nyumba yakiteketezwa kwa moto katika tukio hilo.

Kufuatia tukio hilo la kupigwa hadi kufa kwa kijana huyo wa kimasai, ilipelekea jamii ya watu wa kabila la kimasai kuchukia na kuamua kulipa kisasi kwa kuteketeza magari pamoja na nyumba za wahusika.

Endelea kuwa karibu nasi kwa matukio mbalimbali yanayotufikia katika kitengo chetu cha habari. Pia unaweza kufika Mandai Herbal Clinic endapo unasumbuliwa na magonjwa sugu au wasiliana na Dk Mandai kwa simu namba 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. 

No comments:

Post a Comment