Wednesday, 15 April 2015

AJALI YA BASI NYINGINE TENA!!! HII IMETOKEA NZEGA, TABORA
Mfululizo wa matukio ya ajali umeendelea baada ya leo kuripotiwa kutoka kwa ajali nyingine ya basi iliyotokea Nzega, Tabora.


Ajali hiyo ni ya basi la Air Jordan ambalo lilipinduka na kusababisha kifo cha mtu mmoja, huku wengine 20 wakijeruhiwa RPC  wa Tabora Suzan Kaganda amethibitisha kutokea ajali hiyo.

Karibu Mandai Herbal Clinic kama unasumbuliwa na magonjwa sugu au unahitaji ushauri juu ya masuala mbalimbali ya kiafya. Tupo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Au wasiliana na Dk Mandai kwa simu namba 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. Pia unaweza kulike page yetu ya facebook iitwayo Mandai Herbalist Clinic-mhc ili ufikiwe na taarifa zetu kila siku

No comments:

Post a Comment