Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 16 April 2015

ALHAMISI NYINGINE TENA UNAYOKUTANA NA DK MANDAI KUPITIA REDIO UHURU FM (95.7), LEO PIA DOKTA ANAYO MENGI MAZURI KUHUSU AFYA YAKO MSIKILIZE KUANZIA SAA 4:00 USIKU HUU HADI SAA 5:00. KARIBU!

Ni Alhamis nyingine tena ya Aprili 16, 2015, ambapo unapata nafasi ya kuyafahamu mengi kuhusu tiba asilia na namna mimea inavyoweza kutumika kuwa suluhu ya magonjwa.


Fursa hii unaipata leo itakapofika saa 4:00 kamili usiku hadi saa 5:00 kamili usiku kupitia Redio Uhuru (95.7)ambapo wewe Mtanzania na msikilizaji wa redio uhuru utapata nafasi ya kuuliza maswali yako kwa njia ya ujumbe mfupi na kupiga simu pia.

Kwa  pamoja tuungane kudumisha tiba asilia na Mandai Herbal Clinic.

Pia unaweza kuwasiliana na Dk Mandai kwa simu namba 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. Pia unaweza kulike page yetu ya facebook iitwayo Mandai Herbalist Clinic-mhc ili ufikiwe na taarifa zetu kila siku


No comments:

Post a Comment