Advertisement

Advertisement

Shop

Shop

Mixer

Mixer

Saturday, 4 April 2015

CHENZA HUSAIDIA KUZUIA TATIZO LA KUTOKWA NA DAMU KWENYE FIZI
Chenza ni moja ya tunda lenye ladha nzuri sana na lenye kupendwa na watu wengi wakiwemo watoto na watu wazima pia.


Moja ya faida za chenza ni hii ya kuzuia tatizo la uvujaji wa damu kwenye fizi.

Kwa mwenye tatizo hili anapaswa kuzingatia kula tunda hilo kila unapoweza kulipata.

Pia chenza husaidia kuongeza vitamin C mwilini kama ilivyo katika chungwa, pia husaidia kuongeza nguvu kwenye misuli na kuimarisha mifupa.
 

Unaweza kufika Mandai Herbalist Clinic endapo unasumbuliwa na magonjwa yoyote na hakika utapata tiba nzuri na sahihi na kupona kabisa shida inayokusumbua. Kliniki ipo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.Au piga simu namba, 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com 

No comments:

Post a Comment