Friday, 24 April 2015

CHOROKO NAZO ZINAUMUHIMU WAKE KATIKA TIBA, TUSIZIPUUZE!
Kama wewe ni miongoni mwa watu ambao ni watumiaji wazuri wa choroko basi utakuwa unanufaika na virutubisho muhimu vinavyotokana na choroko.


Choroko ni moja ya chakula chenye kiwango kikubwa cha protini, madini ya phosphorus na kalsium.

Faida za choroko ni pamoja na kuimarisha mifupa, hii ni kutokana na kiwango kikubwa cha madini ya phosphorus na kalsium.

Aidha, choroko pia ni nzuri kwa afya ya moyo kutokana na mafuta yaliyopo kwenye mboga hii kuwa salama kwa afya ya moyo na kuufanya kufanya kazi zake vizuri zaidi.


Mandai Herbal Clinic inapenda kukujuza kwamba kama unateseka na magonjwa mbalimbali kwa muda mrefu sasa ni mwisho, unachopaswa kufanya ni kuhakikisha unafika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam na upate matibabu sahihi kwa kutumia tiba asilia za mimea na matunda. Wasiliana nasi sasa kwa mawasiliano yafuatayo 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. 

No comments:

Post a Comment