Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 24 April 2015

DK MANDAI ANAKUPA NAFASI YA KUMSIKILIZA KUPITIA TIMES FM (100.5) LEO IJUMAA SAA 5:30 ASUBUHI - 6:00 MCHANA


 


Leo Ijumaa tena ambapo wewe Mtanzania unayependa afya yako na kuzipa kipaumbele tiba asilia unapata fursa nyingine tena ya kupata elimu kuhusu afya na tiba asilia kwa ujumla kutoka kwa Dk Mandai kupitia redio yako.

Unachopaswa kufanya ni kusikiliz Redio Times Fm 100.5 kuanzia saa 5:30 asubuhi hii  hadi saa 6:00 mchana Dk Abdallah Mandai atakuwa akizungumzia masuala muhimu kuhusu afya yako ambapo pia na wewe msikilizaji utapata nafasi ya kuuliza maswali yako kwa njia ya ujumbe mfupi na kupiga simu. Tafadhari usipitwe na kipindi hiki cha leo.


Karibu Mandai Herbal Clinic, tupo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam au wasiliana nasi kwa mawasiliano yafuatayo 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. 

No comments:

Post a Comment