Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 23 April 2015

DK MANDAI YUPO TAYARI KUZUNGUMZA NA WEWE MTANZANIA LEO SAA 4:00 HADI 5:00 USIKU KUPITIA REDIO UHURU FM (95.7)


Hii ni fursa nyingine tena ya kupata elimu kuhusu afya na tiba asilia kwa ujumla kutoka kwa Dk Mandai kupitia redio yako.


Msikilize Dk Abdallah Mandai kupitia Redio Uhuru Fm 95.7 akiwa live kuanzia saa 4:00 hadi saa 5:00 usiku huu akizungumzia masuala muhimu kuhusu afya yako ambapo pia na wewe msikilizaji utapata nafasi ya kuuliza maswali yako kwa njia ya ujumbe mfupi na kupiga simu. Tafadhari usipitwe na kipindi hiki cha leo.


Karibu Mandai Herbal Clinic, tupo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam au wasiliana nasi kwa mawasiliano yafuatayo 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. 


No comments:

Post a Comment