Sunday, 26 April 2015

FAHAMU NJIA ASILIA YA KUTIBU JERAHA LA MOTO

Imani yangu  ni kwamba kuna wakati umewahi kupata jeraha la moto au mtu wako wa karibu kupatwa na jeraha  hilo na ukajikuta ukihangaika namna ya kufanya jeraha hilo kupona haraka na hata kujituliza maumivu.

Bila shaka wengi wetu tumekuwa tukitumia asali wakati tunapopata jeraha la moto, hivyo leo Mandai Herbal Clinic inakufahamisha mbinu hizi nyingine za kukusaidia mara unapopata jeraha la moto.
Ndizi mbivu, namna ya kutumia hii ni kupondaponda  ndizi iliyoiva vizuri kisha tumia lojo hilo la ndizi kwa kupaka sehemu iliyoungua halafu bandika jani la mgomba kama bandeji kisha endelea na tiba hiyo hadi kidonda kitakapopona.
Mbali na tiba hiyo ya ndizi, pia jeraha la moto huweza kutibiwa kwa kutumia mchele, ufuta, chumvi na muarobaini.
Tunakusihi endelea kutembelea tovuti hii mara kwa mara ili ujue namna ya kutumia mimea na matunda kama tiba ya matatizo mbalimbali.
 
Mandai Herbal Clinic inapenda kukujuza kwamba kama unateseka na magonjwa mbalimbali kwa muda mrefu sasa ni mwisho, unachopaswa kufanya ni kuhakikisha unafika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam na upate matibabu sahihi kwa kutumia tiba asilia za mimea na matunda. Wasiliana nasi sasa kwa mawasiliano yafuatayo 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. 

No comments:

Post a Comment