Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 9 April 2015

FAIDA ZA ULAJI WA MIWA KIAFYA
Kuna faida mbalimbali za kula miwa, ikiwa ni pamoja na juisi yake maarufu kama juisi ya miwa.


Juisi ya miwa inafahamika na wataalam wa afya kwa kuwa na uwezo wa kuupa mwili nguvu kwa sababu ya kuwa na ‘glucose’.

Juisi ya miwa ina kalori pamoja na madini halisi na , sambamba na vitamin zinazopatikana katika sukari ni kama phosphorus, calcium, madini ya chuma na potassium.

Aidha, miwa ni jamii ya tunda lenye alkali na hivyo kulifanya tunda hilo kuwa na uwezo wa kupambana na saratani hasa ile ya kibofu cha mkojo na saratani ya maziwa.

Upekee mwingine wa miwa ni uwezo wake wa kuongeza maji mwilini, hivyo husaidia kuupooza mwili na kuupa nguvu.

Pamoja na hayo, virutubisho vilivyopo katika miwa vina manufaa makubwa katika kusaidia utendaji kazi wa ogani muhimu kama figo, moyo, ubongo na viungo vya uzazi.

Sambamba na hayo, wagonjwa wa kisukari pia wanaweza kutumia miwa pasipo shaka yoyote kwa sababu sukari iliyopo kwenye miwa haina madhara yoyote.

 Ikiwa unasumbuliwa na magonjwa mbalimbali yakiwemo sugu unaweza kuonana na Dk Abdallah Mandai kutoka Mandai Herbal Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Au wasiliana naye kwa namba za simu zifuatazo, 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443. 

No comments:

Post a Comment