Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 24 April 2015

HUENDA ULIKUWA HUJUI KAMA NCHI YA UGANDA NAYO HUPOTEZA WATU WENGI KUTOKANA NA MALARIA, TAKWIMU ZIPO HAPA


Nchi mbalimbali za barani Afrika zimekuwa zikihakikisha zinapambana na ugonjwa wa malaria lakini kwa Uganda hali ikoje?


Taarifa zinasema kuwa Uganda imekuwa ikipambana na malaria, huku  ripoti ya Wizara ya Afya ya nchi hiyo, ikionesha kuwa kati ya watu 700,000 na 100,000 hupoteza maisha yao kutokana na ugonjwa wa malaria kila mwaka.

Kama ilivyo kwa Tanzania pia nchini Uganda wamekuwa wakifanya juhudu mbali mbali katika kukabiliana na ugonjwa huo ikiwa ni pamoja na usambazaji wa vyandarua milioni 21 bila malipo na kuimarisha mazingira ya wahudumu wa afya wa vijijini wajulikanao kama, VHT.

Jitihada hizo zimeonesha kuleta afueni kwa kupunguza idaadi ya wagonjwa kwenye hospitali za rufaa.

 Mandai Herbal Clinic inapenda kukujuza kwamba kama unateseka na magonjwa mbalimbali kwa muda mrefu sasa ni mwisho, unachopaswa kufanya ni kuhakikisha unafika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam na upate matibabu sahihi kwa kutumia tiba asilia za mimea na matunda. Wasiliana nasi sasa kwa mawasiliano yafuatayo 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment