Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 7 April 2015

KOMAMANGA NA TIBA YA SARATANITunda la komamanga ni moja ya tunda linaloelezwa kuwa na uwezo wa kukabiliana na saratani ya matiti kusambaa mwilini. 


Kwa mujibu wa uchunguzi uliowahi kuchapishwa na jarida la Utafiti la Kuzuia Kansa ulionyesha kwamba tunda la komamanga lina faida kubwa kiafya hasa kwa kuwa na antioxidant nyingi na vitamini mbalimbali, ambazo hulifanya tunda hilo liweze kusaidia katika mapambano dhidi ya magonjwa ya saratani.

Komamanga husaidia kupambana na saratani ya matiti na hupunguza ukuaji wa saratani ya kibofu.

Pia inasemekana kwamba matumizi ya juisi ya komamanga (pomegranate) nusu lita kila siku kwa muda wa mwezi mmoja, husaidia kupunguza mafuta tumboni kwa wale wenye vitambi. 
     
Pamoja na hayo, matumizi ya lishe asilia ni moja ya mambo ambayo yanapaswa kupatiwa umuhimu mkubwa katika kuzuia ugonjwa wa saratani unaoongezeka kila siku duniani.

Unaweza kufika Mandai Herbalist Clinic endapo unasumbuliwa na magonjwa yoyote na hakika utapata tiba nzuri na sahihi na kupona kabisa shida inayokusumbua. Kliniki ipo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.Au piga simu namba, 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com 

No comments:

Post a Comment