Advertisement

Advertisement

Shop

Shop

Mixer

Mixer

Monday, 27 April 2015

KUNAORODHA YA FAIDA ZA MATUMIZI YA TANGAWIZI HAPA..!
Tangawizi imekuwa ikipata sifa nyigi katika kutibu magonjwa mbalimbali ya binaadam.


Leo pia kuna hizi faida nyingine za tangawizi ambazo nimeona ni vyema nikuorodheshea wewe mpendwa msomaji wa www.dkmandai.com

Tangawizi inasifa ya kusaidia kupunguza na kuondoa kichefuchefu, hivyo ni nzuri kwa wale wanawake wenye mimba changa ambao husumbuliwa na kutapika mara kwa mara.

Pia husaidia kuondosha maumivu ya viungo mbalimbali vya mwili na kutoa ahueni kwa tatizo hilo.

Tangawizi pia inamsaada mkubwa katika kurahisisha umeng’enyaji wa chakula tumboni.

Unapotumia chai yenye tangawizi huweza kukusaidia kuondosha tatizo la mafua endapo yanakusumbua.

Kwa kinamama husaidia kutoa ahueni wakati wa hedhi, huku wakinababa nao wakisaidiwa na tangawizi hiyo hiyo katika matatizo ya nguvu za kiume hususani kwa tatizo la mwanaume kutoa shahawa kwa haraka.Lakini ni vyema ukafika kliniki kwetu Mandai Herbalist Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi au wasiliana na Dk Mandai kwa simu namba 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. 

No comments:

Post a Comment