Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 2 April 2015

KUWA KARIBU NASI WIKI HII AMBAPO NITAKUWA NAKUSOGEZEA TIBA MBALIMBALI ZA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME, NIMEANZA NA HII YA TANGAWIZI
Jana Aprili 1, tulizungumzia kuhusu suala la tatizo la nguvu za kiume ambapo nilikujuza mambo kadhaa yanayochangia tatizo hilo na namna ya kukabiliana nalo.


Tangawizi ni moja ya kiungo mahili ambacho husaidia katika kuchochea ladha nzuri katika vyakula vya aina mbalimbali.


Wakati tangawizi ikitumika kama kiungo kizuri katika mapishi pia matabibu wa tiba asili wao wanasema tangawizi inasaidia kuondoa maumivu kwa magonjwa zaidi ya 72 yanayozisumbua jamii nyingi.

Lakini pia kiungo hiki kinauwezo wa kuwasaidia wanaume ambao tayari wamekubwa na tatizo la nguvu za kiume, ambapo Dk Mandai anasema kwamba, kwa wanaume wenye tatizo hilo pamoja na kupoteza hamu ya tendo la ndoa huweza kupata ahueni wanapotumia tangawizi.


Dk Mandai ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mandai Herbal Clinic amesema kwamba tangawizi huwa na uwezo mkubwa wa kuongeza joto ndani ya mwili wa binadamu na hivyo kusaidia kuamsha mishipa ya fahamu katika mwili wa mwanaume mwenye tatizo hilo.

Unaweza kutumia tangawizi kama tiba kwa kutumia tangawizi asilia ambayo imesagwa kisha chukuwa kijiko kimoja cha chai chenye tangawizi na changanya na maji au chai kikombe kimoja halafu mtumiaji atumia asubuhi na jioni.

Kama unasumbuliwa na magonjwa sugu pia unaweza fika Mandai Herbal Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaa. Au wasiliana na Dk Mandai kwa namba za simu zifuatazo  0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443

No comments:

Post a Comment