Sunday, 12 April 2015

KUWA NA JUMAPILI YENYE FURAHA KWA KUANGALIA KIPINDI CHA AFYA KUTOKA MANDAI HERBAL CLINIC NI LEO SAA 1:30 JIONI DK MANDAI ATAKUWA AKIELEZEA MAMBO MBALIMBALI KUHUSU TIBA ASILI NA MIMEA TIBA, HAYO YOTE NI KUPITIA STAR TV.


Hii ni nafasi nzuri kwako kwa wewe unayesumbuliwa na magonjwa mbalimbali kutazama Star Tv pale itakapofika saa 1:30 jioni ya Jumapili ya leo April 12, 2015, Dk Mandai amekuandalia somo nzuri na muhimu kwa afya yako na utajua baadhi ya faida za miti katika kulinda na kukinga na magonjwa mbalimbali.


Hakikisha tunakwenda pamoja ili tuendelee kudumisha tiba asilia, Karibu Mandai Herbal Clinic

Unaweza kufika Mandai Herbal Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam kama unasumbuliwa na magonjwa mbalimbali. Au wasilina na Dk Mandai kwa mawasiliano yafuatayo: 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. Pia unaweza kulike page yetu ya facebook iitwayo Mandai Herbalist Clinic-mhc ili ufikiwe na taarifa zetu kila siku

No comments:

Post a Comment