Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 11 April 2015

LEO KUNA HIZI FAIDA ZA MAJANI YA MLONGE HAPA
Kama utakuwa ni mfuatiliaji mzuri wa tovuti hii bila shaka utakumbuka kuwa nilikuletea faida za mmea wa mti wa mlonge.

Na leo nakufahamisha hizi baadhi ya faida za majani ya mlonge;
1.                  1 .Majani mabichi ya Mlonge huwafaa zaidi kina mama wajawazito na wenye kunyonyesha, huku ikisaidia kuongeza wingi wa maziwa na hushauriwa kwa kutibu Anaemia.

  1. Majani ya mlonge yanapotengenezwa kama juisi hutumika kusafisha tumbo na kutibu magonjwa ya zinaa, lakini pia juisi inapochanganywa na asali husaidia kutibu kuharisha.

  1. Pia juisi hiyo ina uwezo wa kuwasaidia wale wenye presha (BP) na kudhibiti viwango vya sukari kwa wagonjwa wenye kisukari.

  1. Majani hay ohayo ya mlonge pia huweza kupakwa mwilini kwa lengo la kutibu majipu na maambukizi ya ngozi.
Utafiti wa kisayansi umeonesha kuwa majani ya Mlonge ni chanzo kizuri cha virutubishi vingi sana ikiwa ni pamoja na vitamin C, vitamin A, Calcium na Potassium pia.


Unaweza kufika Mandai Herbal Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam kama unasumbuliwa na magonjwa mbalimbali. Au wasilina na Dk Mandai kwa mawasiliano yafuatayo: 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com No comments:

Post a Comment