Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 24 April 2015

LEO KUNAHIZI FAIDA ZA GILIGILIANI
Giligiliani ni kiungo cha kawaida sana na kimekuwa kikitumika sana jikoni katika kukamirisha mapishi mbalimbali.


Kiungo hiki pia kina harufu nzuri na ladha ya uchachu kwa mbali, huku ikisifika kuwa na vitamin A, C, B6, B12 pia inamadimi, mengi ya chuma, kalsiuma na magnesium.

Aidha, giligiliani husaidia kurahisisha usagaji wa chakula mwilini na hutuliza tumbo pamoja na kuondoa gesi kwenye utumbo mwembamba.

Pia inazuia magonjwa ya tumbo ambayo husababishwa na bacteria aina ya salmonella, huku ikisaidia pia kuzuia kutapika.

Hali kadhalika giligiliani husaidia kupunguza mafuta mabaya mwilini, lakini pia ni chanzo kizuri cha nyuzinyuzi ambacho huweza kusaidia usagaji mzuri wa chakuala.

Kutibu kuhara damu, changanya vijiko viwili vya chai vya maji ya giligiliani na kikombe.

Ni vyema ikafahamika kwamba asilimia kubwa ya viungo tunavyotumia nyumbani katika mapishi yetu ya kila siku ni tiba ya magonjwa mbalimbal.


Mandai Herbal Clinic inapenda kukujuza kwamba kama unateseka na magonjwa mbalimbali kwa muda mrefu sasa ni mwisho, unachopaswa kufanya ni kuhakikisha unafika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam na upate matibabu sahihi kwa kutumia tiba asilia za mimea na matunda. Wasiliana nasi sasa kwa mawasiliano yafuatayo 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. 


No comments:

Post a Comment