Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 13 April 2015

LEO NIMEZILETA KWAKO HIZI FAIDA ZA MAGOME NA MIZIZI YA MLONGEAhadi yangu kwako ilikuwa ni kuendelea kukueleza namna mti wa mlonge unavyoweza kuwa tiba ya magonjwa mbalimbali.


Hivyo leo napenda kuhitimisha ahadi yangu kwako kwa kukueleza hizi faida za kutumia magome na mizizi ya mlonge.

Mti wa mlonge magome yake yanapopondwa kidogo na kuwa laini huwa dawa ya ini, bandama, tetenasi, maumivu sambamba na kupooza.

Mizizi ya mti mchanga wa mlonge ni tiba nzuri ya mishipa ya fahamu, kifafa, nyongo, na baridi yabisi.

Aidha, mizizi hiyo hiyo inapopondwa na kuwekwa chumvi na kubandikwa sehemu yenye uvimbe husaidia sana na hata wale waliopooza pia.

Pamoja na hayo, mizizi inapochemshwa na maji yake kutumika kwa kusukutulia huwa ni dawa nzuri ya kusukutua.


Unaweza kufika Mandai Herbal Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam kama unasumbuliwa na magonjwa mbalimbali. Au wasilina na Dk Mandai kwa mawasiliano yafuatayo: 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. Pia unaweza kulike page yetu ya facebook iitwayo Mandai Herbalist Clinic-mhc ili ufikiwe na taarifa zetu kila siku


No comments:

Post a Comment