Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 7 April 2015

MAPERA NA NAMNA YANAVYOWEZA KUWA TIBA NA KINGA KWAKO
Mpera ni miongoni mwa miti ya matunda ambayo inafahamika vizuri katika jamii hapa nchini.


Asili ya mpera ni Amerika ya Kati na Kusini licha ya kuwa kwasasa mti huu unapatikana sehemu mbalimbali hapa duniani.

Kutoka Mandai Herbalist Clinic leo Karume Day tunakuletea list ya haya magonjwa yanayoweza kupata utatuzi kupitia mpera.

Tabibu wa tiba asili hapa nchini Dk Abdallah Mandai kutoka Mandai Herbalist Clinic anasema majani ya mti wa mpera yanapopondwa na yakitumiwa vizuri yanazuia ugonjwa wa kiharusi.

Aidha, majani haya ya mpera yanauwezo wa kusaidia kuponya tatizo la vidonda vya tumbo .

Dk Mandai anasema kuwa, pia majani ya mpera yenye uzito wa kilo moja yanapopondwa na kisha mgonjwa akanywa lita moja yana saidia sana kukinga seli za mwili dhidi ya magonjwa, hali kadhalika dawa hiyo pia hutibu ugonjwa wa malaria.

Pamoja na hayo, kwa wale wenye tatizo la kuwa na majipu, huweza kutumia majani mateke ya mpera na kulisaidi jipu kuiva haraka.

Unaweza kuwa karibu nasi kwa kulike page yetu ya facebook iitwayo Mandai Herbalist Clinic- mhc na utakuwa ukifikiwa na taarifa zetu zote kutoka kwetu hususani za kuhusu tiba asilia. Pia unaweza kuwasiliana na Dk Mandai kwa simu namba 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com 

No comments:

Post a Comment