Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 29 April 2015

MAUMIVU YA MGONGO YANAWEZA KUKUPELEKEA KUWA NA MAUMBILE YA MGONGO KAMA YA SOKWEImeelezwa kuwa watu wenye maumivu ya mgongo wana uwezekano mkubwa wa maumbile yao ya mgongo kuwa sawa na ule wa sokwe.


Taarifa hii inakuja baada ya utafiti uliofanywa na wanasayansi kutoka Scotland, Canada na Iceland na kuchambua wanyama walio na uti wa mgongo kama vile sokwe.

Utafiti huo ambao ulichapishwa katika BMC revolution biology ulihusisha uti wa mgongo wa sokwe pamoja na mifupa ya kale ya binadamu ili kuchunguza uhusiano kati ya maumbile ya mifupa ya mgongo.

Hata hivyo, watafiti wanasema kuwa matokeo yao yanaweza kusaidia madaktari kuwajua wale wanaokabiliwa na hatari ya kupata matitizo ya mgongo.

Matatizo ya maumivu ya mgongo huweza kusababishwa na jeraha linalojitokeza katikati ya vipande vya mifupa ya uti wa mgongo ndio sababu tofauti ya maumbile.

Jeraha hilo hubadilisha uti wa mgongo kwa kuwa binaadamu walibadiliko kutoka kutumia miguu minne hadi miguu miwili.

Endapo unamatatizo ya mgongo fanya jitihada za kufika Mandai Herbal Clinic na utapata huduma nzuri zitakazo kusaidia kuondosha maumivu hayo ya mgongo, tunapatikana Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Au wasiliana nasi kwa mawasiliano yafuatayo: 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment