Sunday, 5 April 2015

MENGINE KUHUSU KAROTI

Karoti ni moja ya kiungo ambacho hutumika sana miongoni mwa watu wengi, lakini pia ni moja ya tunda lenye faida nyingi katika mwili wa binadamu.


Tumekuwa tukisikia mara kadhaa kuhusu karoti kuwa na uwezo wakuongeza uwezo wa kuona, lakini kuna haya mengine pia kuhusu karoti.


Kwa mujibu wa utafiti wa Chuo Kikuu cha Havard umeonesha kuwa, karoti pia  ina uwezo wa kutoa kinga inayoweza kumuepusha mlaji kupata ugonjwa wa kupooza yaani ‘stroke’
 
Aidha, karoti pia husaidia kupambana na magonjwa ya moyo kwa mlaji, hii ni kwa sababu ina virutubisho vya ‘alpha carotene’ pamoja na  lutein.

Vilevile karoti inaelezwa kuwa kinga inayowezakupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa saratani hususani ya mapafu na matiti.

Kama unasumbuliwa na magonjwa sugu fanya jitihada za kuonana na Dk Mandai, anayepatikana Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam,. Au wasiliana naye kwa namba za simu zifuatazo 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com 

No comments:

Post a Comment