Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 17 April 2015

MSIKILIZE DK MANDAI LEO IJUMAA KUPITIA TIMES FM KUANZIA SAA 5:30 ASUBUHI HADI 6:00 MCHANA

Kama ilivyo ada leo tena ni Ijumaa ya Aprili 17, 2015 Dk Mandai atasikika kupitia Times Fm (100.5) ndani ya kipindi cha Hatua 3 ambapo Dk Mandai ataanza kusikia saa 5:30 asubuhi hadi saa 6:00  Mchana.


Dk Mandai atakuwa akizungumzia namna mimea na matunda inavyoweza kuwa tiba nzuri kwako pia atajibu maswali yako utakayopenda kuyajua  .

Mandai Herbal Clinic tunapatikana Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Au wasiliana nasi kwa namba za simu zifuatazo 
0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. Pia unaweza kulike page yetu ya facebook iitwayo Mandai Herbalist Clinic-mhc ili ufikiwe na taarifa zetu kila siku

No comments:

Post a Comment