Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 2 April 2015

MSIKILIZE DK MANDAI LEO USIKU KUANZIA SAA 4 HADI SAA 5 KUPITIA REDIO UHURU AKIZUNGUMZIA PILIPILI HOHO, KABICHI NA KITUNGUU SAUMU KATIKA TIBA

Hakikisha hupitwi na kipindi cha leo cha Dk Abdallah Mandai akizungumzia kuhusu pilipili hoho, kabichi na kitunguu saumu katika tiba.


Kipindi ni kuanzia saa 4 kamili usiku hadi saa tano ambapo msikilizaji pia utapata fursa ya kuuliza maswali yako na kujibiwa na dokta

Kama unasumbuliwa na magonjwa sugu pia unaweza fika Mandai Herbal Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaa. Au wasiliana na Dk Mandai kwa namba za simu zifuatazo  0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443

No comments:

Post a Comment