Thursday, 9 April 2015

MSIKILIZE DK MANDAI SASA KUPITIA REDIO UHURU 95.7 AKIZUNGUMZIA ALOE VERA KATIKA TIBA


Ni nafasi yako sasa ya kumsikiliza Dk Mandai akizungumzia aloe vera juu ya uwezo wake wa kutibu magonjwa mbalimbali, fungulia redio yako sasa kwa wewe mkazi wa Dar es Salaam ni 95.7. KARIBU

Unaweza kufika Mandai Herbal Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam kama unasumbuliwa na magonjwa mbalimbali. Au wasilina na Dk Mandai kwa mawasiliano yafuatayo: 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com 

No comments:

Post a Comment