Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 28 April 2015

MWANAMKE: JIEPUSHE NA HARUFU MBAYA SEHEMU ZA SIRI BAADA YA KUMALIZA HEDHI KWA NJIA HII NYEPESI

Kuna baadhi ya wanawake wamekuwa wakikosa raha na amani kutokana na kuwa na harufu ambayo si nzuri mwilini mara baada ya kumalizana hedhi.


Kama wewe una tatizo la kutoa harufu baada ya mzunguko wako na wakati mwingine unaweza kuona kama majimaji yenye rangi ya brauni yakiambatana na harufu, unachopaswa kufanya ni kutumia maji ya mchele kujiosha sehemu za siri mara kwa mara utamaliza tatizo lote.

Mbali na kutumia njia hiyo, pia unaweza kujitahidi kunywa maziwa mgando kwa wingi, kwani maziwa haya huwa na bakteria fulani wazuri ambao huwa na uwezo wa kupambana na ‘acidic ph’ iliyopo sehemu za siri.

Endapo utatumia njia hizo na ukaona hali bado inaendelea tafadhali muone daktari haraka sana huenda una tatizo lingine.


Kama ulikuwa unawaza nisehemu gani utaweza kwenda na kupata huduma nzuri za matibabu, basi jibu lako limepatikana ni Mandai Herbal Clinic ambao ni wataalam wa kutibu magonjwa mengi kwa kutumia dawa asilia zitokanazo na mimea na matunda. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam Au wasiliana nasi kwa mawasiliano yafuatayo:  0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com
 

No comments:

Post a Comment