Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 14 April 2015

NGOGWE/ NYANYA CHUNGU MBOGA YENYE UWEZO MZURI KATIKA TIBANgongwa / nyanya chungu ni moja ya mboga ambazo hutumiwa na jamii ya Watanzania walio wengi.


Licha y kuwa na uchungu kiasi lakini baadhi ya watu bado wamekuwa wakipenda kutumia ngongwe kama mboga katika familia zao.

Ngogwe ina vitamin A, B, C na inadawa muhimu ndani yake, huku  ikitibu maradhi ya kisukari, majipu na kupunguza uzito kwa wenye uzito kupita kiasi.

Aidha, ngogwe pia inaaminika kwa kusaidia sana kulinda mwili na kuwasaidia wale wenye shida ya akili ya wasiwasi.


Kwa wale wenye shida ya masala ya uzazi, pia ngogwe husaidia kuongeza nguvu za uzazi kwa mwaume  na inatibu pia ugonjwa wa ngiri.

Hata hivyo, ngongwe hizi hizi pia husaidia kuongeza stamina ya uwezo wa kuvumilia na kudumu kwenye tendo la ndoa kwa muda mrefu zaidi kati ya mume na mke, endapo watatumia mboga hiyo kwa utaratibu unaotakiwa kitaalam (mchemso).

Nyanya chungu au Ngogwe inafananishwa na antibiotic na inapotumiwa mara kwa mara huua vijidudu vingi mwilini vya aina mbalimbali.

Kwa kinamama Ngongwe huweza kuwasaidia katika shida ya matatizo ya tumbo la uzazi endapo mama husika atatumia kwwa wingi. Pia  inasaidia hedhi kuwa sawa, huku ikisafisha kifuko cha uzazi na kukilinda. Kwa kifupi ngogwe ni sehemu ya ulinzi wa mwili wako.
 

Asante kwa kuendelea kuwa karibu nasi mdau wetu wa Mandai Herbal Clinic, lakini kama unatatizo lolote la kiafya fanya jitihada za kuwasiliana nasi kwa namba za simu zifuatazo, 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. Pia unaweza kulike page yetu ya facebook iitwayo Mandai Herbalist Clinic-mhc ili ufikiwe na taarifa zetu kila siku


No comments:

Post a Comment