Friday, 3 April 2015

NI MIAKA MIWILI SASA TANGU MANDAI HERBAL CLINIC ILIPOANZA KUTOA HUDUMA ZA MATIBABU KWA TIBA ASILIA, TUNAYO HAYA MACHACHE YA KUSEMA KWAKO


Siku kama ya leo April 3, 2013 Mandai Herbal Clinic ilifunguliwa rasmi na kuanza kutumia jengo jipya kwa ajili ya kutoa tiba kwa Watanzania wenye magonjwa mbalimbali.


Mandai Herbal Clinic tunajivunia mambo mengi katika kipindi hiki cha miaka miwili ya kutoa huduma ya matibabu kwa Watanzania wengi, huku tukijivunia kwa kurudisha furaha ya watu wengi waliokuwa wakisumbuliwa na magonjwa mbalimbali yakiwemo matatizo ya uzazi, kupooza, presha, kisukari, matatizo ya nguvu za kiume na mkanda wa jeshi nk.

Sehemu ya mbele ya jengo la Mandai Herbal Clinic

Pia Mandai Herbal Clinic tunauwezo mkubwa wa kutibu Vidonda vya tumbo, kuzibua mirija ya uzazi kwa akinamama, kuondoa ganzi kwa kutumia dawa na massage, pumu na magonjwa ya figo.

Dk Abdallah Mandai na Mkurugenzi Mkuu wa Mandai Herbal Clinic akionesha moja ya store ya dawa zinazopatikana Mandai Herbal Clinic


Lango Kuu la kuingilia Mandai Herbal Clinic

Mbali na hayo, Mandai Herbal Clinic ikiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Dk Abdallah Mandai  inapenda kuwatakia afya njema Watanzania wote na kuahidi kuwa tutaendelea kuwa suluhisho la matatizo yenu ya kiafya kila iitwapo leo. 

Dk Mandai anasema kwamba ili kupata dawa nzuri na iliyo bora huwezi kukwepa kuingia msituni kwakuwa kinacho tibu magonjwa ya binadamu kinapatikana huko hivyo basi ukiachana na changamoto tunazozipata porini pia kuna wakati inabidi kujitengenezee njia ya kupita ili uweze kuzifikia dawa zilipo bila ya kujali muda unaotumia ndani ya msitu, lakini mwisho wa siku unatoka na mzigo mdogo lakini wenye uhakika wa asilimia 100 katika kutibu ugonjwa wa binadamu.


Unapofika Mandai Herbal Clinic utakutana na wahudumu wakarimu na wenye sifa za kumhudumia mgonjwa vizuri. Ikiwa unahitaji kufika Mandai Herbal Clinic fika Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Au piga simu namba 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443, barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment