Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 14 April 2015

PARACHICHI KATIKA TIBA YA MAGONJWAParachichi ni tunda linaloupatia mwili vitamini C. Huku tunda hili likipatikana kwa wingi katika mikoa ya Mbeya, Tanga, na Kilimanjaro.


Parachichi huukinga mwili dhidi ya kemikali hatari pamoja na kumfanya mtu kuonekana kijana.

Tunda hili pia ni msaada kwa wanawake wengi kutokana na uwezo wake wa kurekebisha masuala ya urembo kwa kupaka usoni au nywele.

Kemikali hizi uharibu mpangilio wa protini katika muundo wa vinasaba.

Katika tafiti ambazo ziliwahi kufanyika huko nyuma nchini Mexico, zilionesha ya kwamba parachichi hupunguza kiwango cha rehemu mwilini.

Anza sasa kupenda kutumia matunda likiwemo parachichi kutokana na umuhimu wake katika afya.
 

Unaweza kufika Mandai Herbal Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam kama unasumbuliwa na magonjwa mbalimbali. Au wasilina na Dk Mandai kwa mawasiliano yafuatayo: 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. Pia unaweza kulike page yetu ya facebook iitwayo Mandai Herbalist Clinic-mhc ili ufikiwe na taarifa zetu kila siku

No comments:

Post a Comment