Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 27 April 2015

SABABU AMBAZO ZINACHANGIA MWANAMKE KUPATA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA TENDO LA NDOA
Tatizo la kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa ni moja ya tatizo ambalo huwasumbua wanawake wengi wanapokuwa katika tendo hilo na mara baada ya kumaliza tendo pia.


Maunivu hayo huweza kujitokeza pale uume unapoanza kuingia ukeni na mara nyingi huchangiwa na uke kuwa mkavu.

Tatizo hili huweza kuchangiwa na kuwa na maandalizi hafifu kabla ya tendo au matatizo katika mfumo wa homoni au kupoteza msisimko na hamu ya tendo.

Kubana kwa misuli nako huweza kuwa sababu ya tatizo hili, ingawaje tatizo hili zaidi ni la kisaikolojia kutokana na baadhi ya wanawake kuwa na uwoga wakati wa tendo.

Sababu nyingine ambazo huweza kuchangia tatizo hili ni pamoja na kuwa na makovu ukeni kutokana na madhara ya kukeketwa au uwepo wa michubuko wa vidonda au maambukizi ukeni mfano fangasi za muda mrefu na maambukizi mengine hasa magonjwa ya ngono.

Mara unapoona unasumbuliwa na tatizo hili ni vyema ukafanya jitihada za kukutana na wataalam wa afya ili uchunguzi zaidi ufanyike na kuweza kubaini chanzo cha tatizo lako, lakini pia unaweza kufika Mandai Herbal Clinic kwa ushauri na matibabu zaidi ya tatizo hilo.Tupo Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam au wasiliana nasi kwa mawasiliano yafuatayo; 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. 

No comments:

Post a Comment