Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 10 April 2015

SIKILIZA REDIO TIMES FM (100.5) LEO 5:30 ASUBUHI HADI SAA 6:00 MCHANA ILI KUMSIKILIZA DK MANDAI AKIWA NA MENGI KUHUSU AFYA YAKO NA TIBA ASILIA

Pata nafasi ya kumsikiliza Dk Mandai leo kupitia redio Times Fm (100.5) ambapo atakuwa akizungumzia masuala muhimu kwa ajili ya afya yako ikiwa na namna ya kutumia mimea tiba.

Unaweza kufika Mandai Herbal Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam kama unasumbuliwa na magonjwa mbalimbali. Au wasilina na Dk Mandai kwa mawasiliano yafuatayo: 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com 

No comments:

Post a Comment