Monday, 27 April 2015

TUMESHAZUNGUMZIA SANA JUU YA FAIDA ZA NYANYA CHUNGU LEO NAKUPATIA HII VIDEO YA DK MANDAI AKIKUFAFANULIA ZAIDI KUHUSU NYANYA CHUNGU NA FAIDA ZAKEMara nyingi tumekuwa tukizungumzia baadhi ya faida za mbogamboga na matunda zikiwemo faida za kutumia nyanya chungu au ngogwe.
Hivyo leo ninayofuraha kukutanisha na mahojianio (interview) hii kati ya tabibu Mandai na kituo cha Sibuka Tv ili uweze kupata kufahamu na kutambua zaidi juu ya umuhimu wa matumizi ya nyanya chungu/ ngogwe katika kutibu afya yako na kukuepusha na baadhi ya magonjwa.

Asante kwa kuendelea kutembelea tovuti hii pia kwa wewe ambaye ungependa kutangaza nasi kupitia tovuti hii yenye kutembelewa na watu wengi kwa sasa, tafadhali wasiliana nasi sasa kwa simu namba 0758 163818/ 0652 163 838/ 0682 368 443

No comments:

Post a Comment