Sunday, 5 April 2015

TUNAPENDA KUKUTAKIA KHERI YA PASAKA TUKIWA NA UJUMBE HUU KWAKO WEWE MDAU WETUMandai Herbal Clinic ikiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dk Abdallah Mandai inapenda kuwatakia Wakristo wote na Watanzania kwa ujumla kheri ya Pasaka na sherehe njema za sikukuu hii ya kukumbuka kufufuka kwa Bwana Yesu Kristo
Katika kusherehekea sikukuu hii Mandai Herbal Clinic inawasihi Watanzania na wadau wote wa Kliniki yetu kusheherekea kwa amani na utulivu ikiwa ni pamoja na kuepuka matumizi ya pombe ambayo huleta madhara kwa afya yako.

Dk Mandai alipowatembelea wadau na wakazi wa Kisarawe jana Jumamosi Aprili 4, 2015 na kutoa elimu ya namna matunda yanavyoweza kusaidia kujenga afya na kuwa kinga ya magonjwa mbalimbali

Dk Mandai (kushoto) akimuelezea mfanyabiashara wa machungwa wa soko la Kisarawe namna matunda hayo anayouza kwa jinsi gani yalivyomuhimu kwa afya
Kheri ya Pasaka mdau wetu wa Mandai Herbal Clinic.Tunakutakie afya njema kila iitwapo leo, lakini uanaposumbuliwa na magonjwa kumbuka Mandai Herbal Clinic ipo kwa ajili yako

Kama unasumbuliwa na magonjwa sugu fanya jitihada za kuonana na Dk Mandai, anayepatikana Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam,. Au wasiliana naye kwa namba za simu zifuatazo 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com 

No comments:

Post a Comment