Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Sunday, 12 April 2015

WATU KADHAA WANAHOFIWA KUFARIKI BAADA YA BASI LA NGANGA KUGONGANA NA LORI, NIMEKUWEKEA NA MOJA YA PICHA YA AJALI


 Jinamizi la ajali limeendelea kuligubika taifa baada ya basi la Nganga kugongana na lori


Katika ajali hiyo watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha baada ya basi la Nganga lililokuwa likitokea Iringa kwenda Kilombero kugongana na lori na kisha kuungua moto katika eneo la Iyove mpakani mwa Morogoro na Iringa.

Picha ya ajali hiyo

No comments:

Post a Comment