Advertisement

Advertisement

Shop

Shop

Mixer

Mixer

Saturday, 18 April 2015

WEKA TUMBO LAKO SAWA KWA KUTUMIA MAZIWA MTINDI
Maziwa ya mgando  / mtindi  ni moja ya maziwa muhimu ambayo yanweza kuwa tiba nzuri zaidi 


Unapotumia maziwa mgando au mtindi husaidia sana kuliweka tumbo sawa hasa pale linapokuwa kwenye hali ya kuvurugika.

Matumizi ya maziwa hayo huweza kusafisha tumbo na kutoa uchafu tumboni na hata kukata kwa maumivu tu.

Pamoja na hayo, katika kutumia maziwa haya kam msaada kwa afya ni vyema yakatumika kwa kutokuweka sukari ngingi.

Hali kadhalika kinywaji hiki kina tibu mambo mengi ikiwa ni pamoja na kusaidia tatizo la msongo wa mawazo na kuweka sawa akili.


Mandai Herbal Clinic tupo Ukonga, Maongolandege jijini Dar es Salaam pia unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. Pia unaweza kulike page yetu ya facebook iitwayo Mandai Herbalist Clinic-mhc ili ufikiwe na taarifa z

No comments:

Post a Comment