Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 18 April 2015

ZIFAHAMU FAIDA ZA KUTUMIA DAFU KATIKA TIBA
Maji ya madafu  ni  yamekuwa yakijipatia umaarufusana katika mikoa ya ukanda  wa  pwani  ya  Tanzania.


Lakini licha ya kutumia kinywaji hicho kama kinywaji, pia husaida sana kuondoa kiu, maji  ya  madafu  yana  faida  lukuki  kwa  afya  ya  mwanadamu.

Miongoni mwa faida za maji hayo ni pamoja na kuimarisha misuli na ubongo, huku pia yakitumika kuzuia upungufu wa maji  mwilini.

Maji ya madafu yanasaidia kuzuia  muonekano  wa  kizee 
 (anti-aging) hususani pale linapotumika vyema mara kwa mara.

Pia maji ya dafu yanasaidia kuimarisha mfumo wa usagaji chakula  tumboni. Maji ya  madafu yanasaidia  kuimarisha mfumo wa kinga ya  mwili. 

Maji ya madafu yanasaidia kukukinga dhidi ya magonjwa ya moyo  pamoja na  presha.

Hali kadhalika maji  ya madafu yana utajiri  mkubwa wa virutubisho  mbalimbali, huku yakiwa na kiasi kidogo  cha  kalori

Mbali na hayo, maji ya madafu ni msaada mkubwa katika kuimarisha mzunguko wa damu mwilini.


Mandai Herbal Clinic tunapatikana Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Au wasiliana nasi kwa namba za simu zifuatazo 
0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. Pia unaweza kulike page yetu ya facebook iitwayo Mandai Herbalist Clinic-mhc ili ufikiwe na taarifa zetu kila siku


No comments:

Post a Comment