Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 16 May 2015

ANZA KUTUMIA MDALASINI WEKEEND HII UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA KINYWA CHAKO


Habari za Jumamosi ya leo Mei, 16, 2015 msomaji wetu wa www.dkmanda.com imani yangu ni kwamba umzima na unaendelea vizuri na michakato mbalimbali ya maisha.

Karibu tena tuendelee kuzungumza kuhusu masuala mbalimbali yakiwemo ya kuhusu afya zetu na tiba asilia kwa ujumla.

Leo ni vyema tugusia mdalasini nasifa zake katika tiba wengi tumekuwa tukitumia mdalasini kama mojawapo ya kiungo kinachosaidia kuweka harufu nzuri kwenye chai na chakula.

Baadhi ya watu pia hutumia kiungo hiki pale wanapopika pilau.

Ni wazi kwamba wengi wetu tumekuwa tukitumia mdalasini kama kiungo tu na si kwa kazi nyingine yoyote, lakini mdalasini pia umekuwa na faida zake kadhaa kiafya.

Mdalasini unatajwa kuwa na uwezo wa kusaidia kuzuia kusambaa kwa ugonjwa wa saratani mwilini.

Mbali na hayo, mdalasini una virutubisho ambavyo hufanya kazi ya kulinda kinywa na kupingana na mashambulizi dhidi ya bakteria. Hivyo inatajwa kuwa kinga ya asilia ya fizi na meno.

Mtu anapotumia mdalasini kwenye chai husaidia meno na fizi kuwa zenye afya.

Acha kuteseka na magonjwa anza kupenda afya yako kwa kufika Mandai Herbal Clinic sasa tupo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam . Tupigie simu namba zifuatazo, 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443. Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment