Sunday, 17 May 2015

ENDAPO HUZIFAHAMU FAIDA ZA ASALI KATIKA TIBA SOMA HAPA LEO


Asali inafahamika sana ulimwenguni kutokana na uwezo wake wa kupambana na magonjwa mbalimbali.


Asali inasifa ya kudumu kwa muda mrefu sana bila kuharibika na inapoliwa huyeyuka tumboni baada ya dakika ishirini.

Tukisema tuanze kuzungumzia sifa za asali hapa tunaweza kukesha kutokana na uwingi wake, lakini jambo moja na rahisi ninaloweza kukushauri msomaji wangu ni kwamba leo ifikapo Saa Moja na Dakika Ishirini na Tano usiku wa Jumapili hii ya tarehe 17/05/2015 ungana na Dk Mandai kupitia Star Tv hapo ndipo utapata kuzifahamu sifa zote na faida za asali na namna gani unaweza kutumia kama tiba ya kutibu magonjwa mbalimbali.

Kama ungependa kuwasiliana nasi zaidi kwaajili ya kufahamu chochote kuhusu huduma zetu unachopaswa kufanya ni kutupigia simu namba 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443 Au Barua pepe: dkmandaitz@gmail.com. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment