Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 15 May 2015

ENDAPO UTAKUWA NA DALILI HIZI BASI TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME LINAKUNYEMELEA


Tunapozungumzia upungufu wa nguvu za kiume hii ni ile hali ya mwanaume kushindwa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha.

Baadhi ya wanaume wenye tatizo hilo huweza hujikuta wakiingia katika msongo wa mawazo kutokana na kufikiria ni kwa namna gani watachomoka katika tatizo hilo.

Hivyo leo nakufahamisha baadhi ya viashiria hivi ambavyo humaanisha huenda ukawa na shida ya tatizo la nguvu za kiume.

Uume kushindwa kusimama vizuri yaani kwa uimara zaidi na badala yake husimama ukiwa legelega.

Mwanaume kushindwa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara moja, yaani akishakamilisha mshindo mmoja wa tendo la ndoa basi anakuwa hana tena uwezo wa kurudia mshindo mwingine. Hali hii husababishwa na kutokuwa na msukumo mzuri wa damu na wa kutosha kwenye mishipa ya kwenye uume

Kukosa kabisa hamu ya kushiriki tendo la ndoa na mwenzi wako.

Kupata baadhi ya maumivu sehemu za siri, maumivu hayo huweza kuwa katika uume wenyewe au korodani na huweza kujitokea katikati ya tendo au mara baada ya tendo kumalizika.

Pia mwanaume mwenye tatizo hili huweza kukosa uwezo wa kusimamisha uume kabisa. Hali hii hutokea pindi tatizo linapokuwa limeanza kukomaa.

Uume kunywea na kurudi ndani, hali hii kwa kiasi kikubwa husababishwa na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu pamoja na magonjwa mbalimbali ya ngono.

Kama unadalili hizo huenda ukawa unanyemelewa na tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume unaweza kufika kwetu Mandai Herbalist Clinic na utapata dawa ambayo itakusaidia kumaliza kabisa tatizo hilo. Tupigie simu sasa kupitia 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443. Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment