Monday, 4 May 2015

FAHAMU NAMNA YA KUZIANDAA MBEGU ZA MLONGE ILI ZITUMIKE KAMA TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO
Mlonge ni mti ambao umetokea kujizolea umaarufu sana kutokana na uwezo wake wa kutibu magonjwa mbalimbali hasa pale unapotumika vizuri.
Asili ya mti huu wa mlonge ni Uhindi, lakini kwa sasa  mti huu hupandwa kanda za tropiki na umekuwa ukipatikana sehemu mbalimbali za nchi hapa nyumbani Tanzania.

Moja ya sifa za mti huu ni kuwa tiba kila sehemu ya mti huu yaani kuanzia mbegu zake, magome, majani pamoja na mizizi.

Lengo langu leo ni kukujuza uwezo wa mbegu za mlonge katika kutibu tatizo la vidonda vya tumbo.

Ili mbegu hizi ziweze kuwa msaada kwako kwa kutibu vidonda vya tumbo kausha mbegu za mlonge na uzisage kisha unga wake utumie kwa kuweka kwenye uji na kisha kunywa uji huo kila siku asubuhi na jioni kwa muda wa wiki mbili mfululizo.

Kwa kufanya hivyo, huku ukizingatia kula kwa wakati na kupunguza msongo wa mawazo (stress) ni matumaini yetu utapona kabisa. Pia unaweza kuwasiliana nasi zaidi kwa mawasiliano yafuatayo, 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com ili kupata maelekezo zaidi. Au fika kliniki yetu iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment