Tuesday, 26 May 2015

HII NDIO MANDAI HERBALIST CLINIC, YENYE DHAMIRA YA KUHUDUMIA AFYA ZA WATANZANIA KWA TIBA ASILIA NDANI YA MAZINGIRA YA KISASA


Mandai Herbalist Clinic ni kituo cha tiba asilia na tiba mbadala ambacho kinapatikana jijini Dar es Salaam maeneo ya Ukonga, Mongolandege

Moja ya mambo ambayo yanapewa kipaumbele katika kituo hiki ni pamoja na kuhakikisha mgonjwa anapata tiba sahihi kila anapofika kwetu.

Pia Mandai Herbalist Clinic imekuwa ikizingatia sana kuhusu madhari ya kituo hiki na hivyo kuhakikisha muda wote kituo kinakuwa katika hali nzuri ya kimazingira kiasi kwamba mgonjwa anapofika kituoni kwetu  anakutana na mazingira mazuri ambayo kisaikolojia ni moja ya tiba ambayo anaipata bure kabisa  hata kabla ya kuonana na wataalam wetu.

Leo nakusogezea hizi picha 2 tu  za muonekano wa ndani wa kituo hiki cha Mandai Herbalist Clinic.

Hii ni korido ambayo itakukutanisha na vyumba viwili yaani chumba kwaajili ya mapumziko pamoja na chumba cha dawa.
Chumba hiki ni mahususi kabisa kwaajili ya mahojiano na wagonjwa ambapo mgonjwa atapata fursa ya kueleza historia yake ya ugonjwa vizuri na kwa uhuru kabisa kabla ya kufanya vipimo


Mandai Herbalist Clinic tunapenda kukwambia wewe Mtanzania popote pale ulipo kuwa sisi tunaamini mimea, nafaka, matunda na mitishamba ni tiba nzuri kabisa ya miili yetu na unapofika kwetu utakutana na huduma bora kutoka kwa wataalam wetu wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dk Abdallah Mandai.


Kama unasumbuliwa na magonjwa mbalimbali yakiwemo yale sugu, hebu fanya utaratibu wa kufika ofisini kwetu ili tuweze kutatua tatizo lako la kiafya vizuri kabisa. Pia unaweza kututafuta kwa mawasiliano yafuatayo 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300 Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Pia namba hizo za simu zimeunganishwa na whatsapp. Kwa wale wa facebook tupate kupitia ukurasa wetu uitwao Mandai Herbalist Clinic- mhc.

No comments:

Post a Comment