Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 8 May 2015

HIVI UTAKUWA UNAUFAHAMU VIZURI UGONJWA WA KIFADURO? BASI UGONJWA HUO KIBOKO YAKE NI TANGAWIZI NA ASALI


Je, ni mara ngapi umewahi kusikia kuhusu ugonjwa wa kifaduro? Huu ni ugonjwa ambao kwa lugha ya wenzetu yaani kingereza unafahamika kama ‘Whooping Cough’.
Kimsingi kifaduro ni kikohozi ambacho huwashika watoto wadogo wenye umri kati ya mwaka mmoja na miaka mitano.

Pia mara chache sana watoto walio na umri wa zaidi ya miaka mitano kuugua ugonjwa huu.

Kifaduro husababishwa na vijidudu vinavyoitwa ‘Bordetella pertussis’ na ni ugonjwa ambao unaambukiza, huku matibabu ya ugonjwa huu yakichukuwa kati ya siku 10 hadi 20.

Mtoto mwenye ugonjwa huu anaweza kutengenezewa tangawizi ambayo itachanganywa na asali dawa ambayo itamsaidia kupona ugonjwa huo.

Kinachopaswa kufanyika ni kupondaponda au kusaga tangawizi kiasi cha kujaza kijiko kimoja cha mezani, kisha weka tangawizi hiyo ndani ya nusu glasi ya maji na uongeze vijiko viwili vya asali kisha koroga vizuri mchanganyiko huo na umpatie mgonjwa anywe. Fanya hivyo mara tatu kwa siku utaona mabadiliko.Endelea kuwa karibu nasi kupitia ukurasa wetu wa facebook uitwao Mandai Herbalist Clinic- mhc na utakapo like page yetu hiyo utakuwa unafikiwa na taarifa zetu kila siku, Pia kama unatatizo lolote la kiafya unaweza kuonana na Mkurugenzi Mkuu wa Mandai Herbal Clinic, Dk, Abdallah Mandai kila siku ya Jumatatu hadi Jumapili ofisi, Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam au piga simu namba 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443. Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment