Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 5 May 2015

JE, UNAFAHAMU KUWA WATOTO 500 HUFARIKI DUNIA KILA SIKU KUTOKANA NA AJALI ZA BARABARANI?

Shirika la afya duniani WHO limesema kwamba ulimwenguni kote kila siku watoto 500 hufariki dunia kutokana na ajali za barabarani.


Aidha, shirika hilo limesema mbali na vifo hivyo pia watoto wengine wengi hujeruhiwa kutokana na ajali za barabarani, huku ajali hizo zikiwa chanzo kikubwa cha vifo kwa vijana wanaokua hususani wavulana.

Kutokana na ripoti hiyo, WHO inataka kuchukuliwa hatua za kuhakikisha usalama wa watoto.

Hata hivyo katika taarifa hiyo bara la Afrika limeonekena kuongoza kuwa na vifo vingi vya watoto barabarani hususani katika nchi za vipato vya chini.

No comments:

Post a Comment