Monday, 4 May 2015

KAMA UNASUMBULIWA NA VIDONDA VYA TUMBO, BASI HII DAWA NI SULUHISHO LAKO
Vidonda vya tumbo ni tatizo ambalo linawakabili watu wengi, na limekuwa changamoto sana kwa wale wanaokabiliwa na tatizo hilo.


Mara kwa mara kupitia ukurasa wetu wa facebook uitwao Mandai Herbalist Clinic- mhc pamoja na barua pepe tumekuwa tukipokea maswali mengi kuhusu tatizo hili la vidonda vya tumbo na endapo kuna dawa inayoweza kumaliza tatizo hili, hivyo leo nimeona ni vyema nikufahamishe dawa yenye uwezo wa kumaliza tatizo hilo.

Kutokana na hali hiyo na kutambua kuwa Watanzani wengi wanateseka na tatizo hili kwa muda mrefu, hivyo leo ninayo furaha kukufahamisha kuhusu dawa hii iitwayo ‘Likolo Plus B52’ inayopatikana Mandai Herbalist Clinic pekee.

Likolo Plus B52, hii ni dawa ya asili yenye uwezo mkubwa, ambayo tayari imeonesha mafanikio makubwa katika kutibu vidonda vya tumbo na inaweza pia kutokomeza uvimbe wa ndani ya tumbo.

Dawa hii pia inauwezo wa kusafisha kibofu cha mkojo, kutoa gesi tumboni na kusaidia kuzuia tatizo la tumbo kuunguruma na kuwaka moto.

Matatizo mengine ambayo huweza kupata utatuzi kupitia dawa hii ya Likolo Pluss52, ni pamoja na kuondoa kiungulia kutoa mafuta mabaya mwilini (cholesterol) pamoja na minyoo.

Pia dawa hii imesheheni vitamin C na A, ‘potassium’ na ‘pactin,’ huku ikiwa msaada mkubwa katika kusafisha usafi wa chakula.

Dawa hii ya ‘Likolo Plus B 52’ imetengenezwa kwa mchanganyiko wa dawa asili na inapatikana katika mfumo wa unga na vidonge  na haina madhara yoyote kwa matumizi ya binadamu.

Endapo utahitaji kuipata dawa hii na kuanza kuitumia ili kumaliza tatizo lako la vidonda vya tumbo wasiliana nasi kwa kupiga simu namba 0717 961 795/ 0653 163 838 / 0754 391 743.

No comments:

Post a Comment