Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 8 May 2015

KOKWA LA EMBE LIKITUMIKA IPASAVYO NI TIBA YA BAWASIRI


Bawasiri au haemorrhoids kwa lugha ya kitaalam, huu ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani au nje ya haja kubwa.
Wakati mwingine mishipa inaweza kupasuka na kusababisha kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa.

Miongoni mwa vyanzo vya ugonjwa huu ni matatizo ya kufunga choo (constipation), kusimama au kukaa kwa muda mrefu, kazi za nguvu, udhaifu wa misuri ya mwili, unene kupita kiasi na mengineyo.

Lakini hapa leo nimeona nikupe hii moja ya njia ambayo inaweza kutatua tatizo hilo, licha ya kwamba zipo nyingi lakini kwa leo na kusogezea hii moja nyingine tutaendelea kufahamishana siku zijazo taratibu.

Unachopaswa kufanya ni kuchukua mbegu ya embe (kokwa) kisha kausha kwnye kivuli na uisage hadi iwe unga laini.

Baada ya kukamilisha zoezi hilo chukua nusu kijiko cha chai cha unga wa embe, kisha weka ndani ya maji nusu glasi na uongeze asali kijiko kimoja cha chai, koroga na unywe.

Tiba hii ifanyike asubuhi na jioni kwa muda wa siku saba, lakini kama unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam pia unaweza kuipata dawa ya ugonjwa huu wa bawasiri ikiwa tayari imeandaliwa vizuri na ipo tayari kwa matumizi. Wasiliana nasi kwa mawasiliano yafuatayo 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443. Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment