Friday, 29 May 2015

LEO KUNA HIZI FAIDA ZA KULA TUNDA LA PEASIWengi wetu tunalifahamu tunda hili la Peasi (Pears), na mara nyingi tunda hili hupatikana katika mkoa wa Tanga.

Tunda hili ni moja ya matunda yenye umuhimu katika kutibu tatizo la ukosefu wa choo.

Hivyo kwa wale watu wenye tatizo sugu la ukosefu wa choo, wanashauriwa kutumia tunda hili kwa wingi kila siku au kunywa juisi yake kwa siku kadhaa ili kuondokana na tatizo hilo.

Katika hali ya kawaida, Peasi moja la ukubwa wa kawaida likiliwa baada ya chakula cha usiku au baada ya kupata kifungua kinywa asubuhi huweza kuleta matokeo mazuri zaidi.

Unaweza kuwasiliana nasi Mnadai Herbal Clinic kwa mawasiliana yafuatayo:  0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300 Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri na matibabu ya magonjwa mbalimbali sugu.

No comments:

Post a Comment